Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo atembelea banda la TIRA Maonesho ya Nane Nane, asisitiza utoaji elimu
04 Aug, 2025

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mhe. Mhandisi Athuman Kilundumya atembelea banda la TIRA na TAIC Maonesho ya Nane Nane Dodoma apongeza mafanikio bima ya kilimo na kutoa rai elimu hiyo ipelekwe zaidi kwa wakulima ili waweze kulinda mali zao kwa bima.
Aidha, Mhandisi Kilundumya pia alisisitiza utoaji elimu zaidi kwa wananchi ili wakulima, wafugaji na wavuvi ili bima hiyo ya kilimo iwe jumuishi kwa wananchi wa hali zote wanaofanya shughuli hizo.
TIRA KWA SOKO SALAMA LA BIMA