Dira na Malengo
Dira Yetu:
"Kuendeleza, kukuza na kudumisha soko la bima jumuishi, lenye ufanisi, haki, salama na thabiti kwa manufaa na ulinzi wa wakata bima"
Malengo Yetu:
"Msimamizi wa Bima wa Viwango vya Kimataifa"
Msingi wa Maadili yetu:
"Uweledi, Kumjali mteja, Umoja, Uadilifu, Uwajibikaji na Uwazi "