Majukumu Yetu
- Kuandaa na kusimsia utekelezaji wa kanuni za maadili kwa wadau wa sekta ya bima;
- Kusimamia na kufuatilia utendaji wa kampuni za bima;
- Kuandaa viwango viwango vya uendeshaji wa biashara ya bima ambavyo vitazingatiwa na kampuni za bima;
- Kuhakikisha kanuni za maadili ya utendaji katika sekta ya bima zinazingatiaji kwa usahihi;
- Tekeleza kazi nyingine yoyote kama itakavyohitajika kwa mujibu wa Sheria;
- Kulinda maslahi ya mkata bima; na
- Kubainisha sifa zinazohitajika kwa wataalamu wa sekta ya bima;