Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania

TIRA Logo
BIMA DEBATE JUST GOT BIGGER - COMMISSIONER OF INSURANCE AS THE GUEST OF HONOR
22 May, 2025
BIMA DEBATE JUST GOT BIGGER - COMMISSIONER OF INSURANCE AS THE GUEST OF HONOR

Kuelekea siku ya bima kitaifa (Insurance Day, 2025), Insurance Institute of Tanzania (IIT) wameandaa debate itakayoshirikisha wanafunzi na wananchuo kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusu bima. Mdahalo huo utafanyika siku ya jumamosi tarehe 24 Mei 2025 katika chuo cha Africa College of Inmsurance and Social Protection (ACISP) ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Kamishna wa Bima Tanzania Dkt. Baghayo Saqware. 

Mdahalo huu ni moja ya matukio yanayofanywa kuelekea, Mkutano Mkuu wa Siku ya Bima Kitaifa unaenda sambamba na kauli mbiu ya "Kubadilisha Maisha Kupitia Ubunifu: Mustakabali wa Bima Tanzania" na utafanyika Juni 18 - 21 2025, jijini Arusha. Matukio mengine kuelekea siku hiyo ni pamoja na Michezo ya Bima Mei 31 Dar es Salaam, Tanzanite Sports Hub Mikocheni, Bima Walk and CSR - Juni 18 Arusha.

TIRA KWA SOKO SALAMA LA BIMA