Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania

TIRA Logo
Uzinduzi wa Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima ya Miaka mitatu (2019 - 2021) na Miongozo Minne ya Bima
07 Oct, 2022 15:00 -
Hyatt- Kilimanjaro Hotel in Dar es Salaam
eliezer.rweikiza@tira.go.tz

Mamlaka ya Usimamzi wa Bima Tanzania (TIRA) itazindua  Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima ya Miaka mitatu (2019 - 2021) na Miongozo ya Bima tarehe 7 Oktoba, 2022 kuanzia  saa 9 mchana katika Hotel ya Hyatt- Kilimanjaro jijini Dar es Salam.

Mgeni Rasmi atakuwa Mh. Saada Salum Mkuya (Mb) Waziri Ofisi ya Rais – Fedha na Mipango – Zanzibar.

 

Mnakaribishwa

Uzinduzi wa  Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima ya Miaka mitatu (2019 - 2021) na Miongozo Minne ya Bima