TIRA NDANI YA MAONESHO YA KILIMO NANE NANE, MBEYA
Watumishi mbalimbali kutoka TIRA, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, katika Maonesho ya Kilimo jijini Mbeya ambapo pia alikuwepo Mkurugenzi wa Mipango, Utafiti na Uendelezaji Masoko Bw. Samwel Mwiru na Meneja wa Meneja wa Nyanda za Juu Kusini Bi. Neema Lituli