Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania

TIRA Logo
MAONESHO YA WIKI YA FEDHA JIJINI MWANZA
Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania Kanda ya Ziwa Bw. Richard Cheumbe akitoa elimu ya Bima wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Bima yanayoendelea katika viunga vya Rocy City Mall jijini Mwanza